Hapo zamani mtu mmoja aliokota kinda la tai wakati akitembea porini. Alichukua kinda hilo mpaka nyumbani na kuliweka katika banda la kufugia vifaranga vya kuku. Kinda hilo la Tai lilijifunza kula na kuishi kama kuku.
Read MoreBelow is some of our upcoming and previous activities
20 Sep - 27 Sep 2019 @ Karatu Arusha
05 Nov - 22 Nov 2019 @ Karatu Arusha
10 Dec - 15 Dec 2019 @ Karatu Arusha
Our Latest Posts From Our Blog
Hapo zamani mtu mmoja aliokota kinda la tai wakati akitembea porini. Alichukua kinda hilo mpaka nyumbani na kuliweka katika banda la kufugia vifaranga vya kuku. Kinda hilo la Tai lilijifunza kula na kuishi kama kuku.
Read MoreJICHO LA FIKRA ni jicho linaloona kwa upana wa zaidi ya uwezo wako , mfano ukifikiria kikombe aufikiriii tu kwamba kinatumika kwa kuwekea chai bali utawaza nini kilichotumika kutengenezea, na kwanini kinawekea chai tu na si mboga?
Read MoreNatumai msemo wa wenzetu wa magharibi usemao “Time is Money” si mgeni masikioni kwetu. Yawezekana kwamba msemo huo kwa tafsiri ya moja kwa moja, unamaanisha kwamba muda ni pesa. Lakini ...
Read More