Climate Strike Karatu:

Blog Post

Welcome to our blog page

Tai Na Maisha Yetu

Hapo zamani mtu mmoja aliokota kinda la tai wakati akitembea porini. Alichukua kinda hilo mpaka nyumbani na kuliweka katika banda la kufugia vifaranga vya kuku. Kinda hilo la Tai lilijifunza kula na kuishi kama kuku.

Read More
Jicho La Fikra

JICHO LA FIKRA ni jicho linaloona kwa upana wa zaidi ya uwezo wako , mfano ukifikiria kikombe aufikiriii tu kwamba kinatumika kwa kuwekea chai bali utawaza nini kilichotumika kutengenezea, na kwanini kinawekea chai tu na si mboga?

Read More
Kesho Haiwezi Kurudi Jana na Jana Haiwezi Kuwa Leo

Natumai msemo wa wenzetu wa magharibi usemao “Time is Money” si mgeni masikioni kwetu. Yawezekana kwamba msemo huo kwa tafsiri ya moja kwa moja, unamaanisha kwamba muda ni pesa. Lakini …

Read More
WhatsApp chat